Jarida la Kiswahili Sanifu (JAKISA) ni jarida wazi linalotathminiwa na wenzi. Jarida hili litachapisha makala za taaluma ya Kiswahili. Makala zote zitatumwa kwa Mhariri Mkuu na kufanyiwa tathmini ya kina ya kitaaluma. Makala zitakazokubaliwa ni zile zinazotokana na tahakiki za vitabu, tasnifu, uchunguzi kifani na kazi mradi miongoni mwa nyingine.
APC
Jarida la Kiswahili Sanifu charges an article processing fee of USD 100. Kindly use the following payment details:
Current Issue
Vol. 1 No. 1 (2024)
Published: 2024-12-03