Login or Register to make a submission.

As part of the submission process, authors are required to check off their submission's compliance with all of the following items, and submissions may be returned to authors that do not adhere to these guidelines.

  • The submission has not been previously published, nor is it before another journal for consideration (or an explanation has been provided in Comments to the Editor).
  • The submission file is in OpenOffice, Microsoft Word, or RTF document file format.
  • Where available, URLs for the references have been provided.
  • The text is single-spaced; uses a 12-point font; employs italics, rather than underlining (except with URL addresses); and all illustrations, figures, and tables are placed within the text at the appropriate points, rather than at the end.
  • The text adheres to the stylistic and bibliographic requirements outlined in the Author Guidelines.

Mwongozo wa Kuandaa Makala 

Waandishi wa makala wanatarajiwa kufuata mwongozo ufuatao:

  1. Makala iwe na anwani, jina/majina ya mwandishi/waandishi (jina la ukoo likitangulia), taasisi, nchi, barua pepe na sanduku la posta.
  2. Makala zichapwe katika programu ya Microsoft Word kwa Hati ya Kirumi katika karatasi ya A4, ukubwa wa chapa iwe pointi 12 na nafasi baina ya mistari iwe pointi 2.0
  3. Ikisiri isiyozidi maneno 200 iandikwe kwa herufi mlazo baada ya taarifa za mwandishi/waandishi. Ikisiri iwe na muhtsari wa makala na iwekwe kati.
  4. Maneno muhimu yasiyozidi saba (7) yaliyoandikwa kwa herufi mlazo yanaweza kuingizwa kwenye makala na kuandikwa baada ya ikisiri.
  5. Makala iwe na urefu wa kati ya maneno 3000-6000.
  6. Makala ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili. Hata hivyo, makala zilizoandikwa kwa Kiingereza kuhusu taaluma ya Kiswahili zitakubaliwa kutegemea mchango wake wa kiusomi.
  7. Uandishi wa marejeleo ukitwe kwenye mtindo wa APA toleo la punde zaidi.
  8. Tiniwayo zisitumiwe.