Journal Description

Jarida la Kiswahili Sanifu (JAKISA) ni jarida wazi linalotathminiwa na wenzi. Jarida hili litachapisha makala za taaluma ya Kiswahili. Makala zote zitatumwa kwa Mhariri Mkuu na kufanyiwa tathmini ya kina ya kitaaluma. Makala zitakazokubaliwa ni zile zinazotokana na tahakiki za vitabu, tasnifu, uchunguzi kifani na kazi mradi miongoni mwa nyingine.


ISSN (Online): 3079-2665

 

APC

Jarida la Kiswahili Sanifu charges an article processing fee of USD 100. Kindly use the following payment details:

Account Name: MMUST IGUs
Account Number: 0098080317
Bank/Branch: Absa,Kakamega Branch
Swift code: BARCKENX
Reference: INTJ

Vol. 3 No. 1 (2026)

Published: April 8, 2026

Mwanamke katika Ushairi wa Kiswahili: Uchunguzi wa Diwani ya Kurunzi

1 – 8 Davian Buguna
10
DOI: https://doi.org/10.61889/baxmfs93

Nadharia ya Fasihi Mazingira: Mawanda na Matapo yake Katika Fasihi ya Kiswahili

9 – 14 Nixon Sangili
3
DOI: https://doi.org/10.61889/je3p5b16

Athari ya Miviga Katika Jamii ya Wamakonde Kama Kielelezo cha Utamaduni Zama za Utandawazi: Wilayani Newala Mtwara Tanzania

15 – 23 OLIVIA KANWA
2
DOI: https://doi.org/10.61889/1vck0s23

Mchango wa Fasihi ya Watoto Katika Ufundishaji wa Stadi za Lugha Katika Shule za Msingi, Mtaala wa Elimu wa Umilisi (CBE) Nchini Kenya

24 – 30 Dkt. Harriet Ibala, Dkt. Tecla Ng'isirei
3
DOI: https://doi.org/10.61889/jnwcga61
View All Issues